".07%" | |||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
Sehemu ya Heroes | |||||||
![]() Linderman anamwonesha Nathan michoro ya Mendez. | |||||||
Sehemu ya. | Msimu 1 Sehemu 19 | ||||||
Imetungwa na | Chuck Kim | ||||||
Imeongozwa na | Adam Kane | ||||||
Tarehe halisi ya kurushwa | 23 Aprili 2007 | ||||||
Waigizaji wageni | |||||||
| |||||||
Orodha ya sehemu za Heroes |
".07%" ni sehemu ya kumi na tisa ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa kipindi cha bunilizi ya kisayansi kinachorushwa hewani na televisheni ya NBC, Heroes. Ni sehemu ya kwanza ambayo ina maelezo yanayosomwa na mtu mwingine mbali na Sendhil Ramamurthy (Mohinder Suresh), kwa maana hiyo maelezo yanasomwa na Malcolm McDowell (Mr. Linderman). Jina la kipengele hiki linataja siri ya bomu litakalolipuka ni sawa na idadi ya .07% ya wakazi wa dunia.