Msimu wa 4 wa 24 | |
---|---|
![]() Jack Bauer na Audrey Raines | |
Nchi asilia | Marekani |
Mtandao | Fox Broadcasting Company |
Iko hewani tangu | 9 Januari 2005 – 23 Mei 2005 |
Idadi ya sehemu | 24 |
Tarehe ya kutolewa DVD | 6 Desemba 2005 |
Msimu uliopita | Msimu 3 |
Msimu ujao | Msimu 5 |
Msimu wa Nne (pia unajulikana kama Siku ya 4) ya mfululizo wa televisheni wa 24 ulioanza kurushwa hewani mnamo tar. 9 Januari 2005 na kipengele cha mwisho kuishia 23 Mei 2005.
Mstari wa hadithi ya msimu wa nne inaanza na kuisha saa 1:00 Asubuhi.
Kipande cha kwanza cha dakika 10 kilikuwa kinapatikana hata katika DVD ya msimu wa tatu. Msimu ulianza kutangazwa kupitia Sky One nchini Uingereza kabla ya kuanza kuonyeshwa nchini humo. Pia DVD ya msimu wa nne ilikuwa ikipatika nchini Uingereza.