2Pac Live

2Pac Live
2Pac Live Cover
Live album ya 2Pac
Imerekodiwa Agosti 6, 2004 (2004-08-06)
Aina West coast hip hop, conscious hip hop
Lebo Death Row/Koch
Wendo wa albamu za 2Pac
Tupac: Resurrection (Kibwagizo)
(2003)
2Pac Live
(2004)
Loyal to the Game
(2004)


Makadirio ya kitaalamu
Tahakiki za ushindi
Chanzo Makadirio
Allmusic 2/5 stars[1]
RapReviews.com 7.5/10 stars[2]

2Pac Live ni albamu ya ukumbini iliyotolewa na rapa Tupac Shakur. Albamu ilitolewa mnamo tar. 6 Agosti, 2004 na studio ya Koch Records na hii ndiyo albamu ya ukumbini ya Shakur.

  1. [2Pac Live katika Allmusic "2Pac Live Review"]. Allmusic. Iliwekwa mnamo 27 Aprili 2011. {{cite web}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "2Pac Live Review". RapReviews.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-25. Iliwekwa mnamo 27 Aprili 2011. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne