2Pacalypse Now | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Studio album ya 2Pac | |||||||||||
Imetolewa | 12 Novemba 1991 | ||||||||||
Imerekodiwa | 1991 | ||||||||||
Aina | Political rap, West Coast hip hop | ||||||||||
Urefu | 55:07 | ||||||||||
Lebo | Jive/Interscope Records | ||||||||||
Mtayarishaji | Atron Gregory, Big D the Impossible, Jeremy, Live Squad, Raw Fusion, Shock G, Underground Railroad | ||||||||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||||||||
|
|||||||||||
Wendo wa albamu za 2Pac | |||||||||||
|
2Pacalypse Now ni jina la albamu ya kwanza ya rapa 2pac, ambayo ilitolewa mnamo mwezi wa Novemba katika mwaka wa 1991.
Ingawa viabo vingi vya humu vilikosa biti zenye ujazo na usafi wa maneno ukifananisha na albamu zake za baadaye, ni kazi yake iliolala sana katika masuala ya kisiasa. Analenga sana katika matatizo ya kijamii kama vile ukatili unaofanywa na mapolisi, umaskini, mimba kwa wasichana wadogo, na matumizi ya madawa ya kulevya, na baadhi ya masuala yanahusu hasa ulimwengu wa mtu mweusi nchini Marekani.