8701 | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() Kasha ya albamu ya 8701.
|
|||||
Studio album ya Usher | |||||
Imetolewa | 7 Agosti 2001 | ||||
Aina | R&B, soul | ||||
Urefu | 64:48 | ||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Lebo | Arista | ||||
Mtayarishaji | Jermaine Dupri, Jimmy Jam and Terry Lewis, P. Diddy, Bryan Michael Cox, The Neptunes, Babyface, Soulshock & Karlin | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Usher | |||||
|
8701 ni albamu ya tatu kutoka kwa mwimbaji aitwaye Usher, iliyotolewa na Arista Records mnamo 7 Agosti 2001.
Usher alishirikiana na mwimbaji na msanii Jermaine Dupri. Wasanii wengine walioshiriki ni kama P. Diddy, Bryan Michael Cox na Babyface.
Albamu hii ilifika namba nne kwenye chati ya Billboard 200 na namba moja nchini Uingereza na tangu siku hiyo ilithibitishwa 4x platinum na RIAA.[1]