Adriano Vignoli

Adriano Vignoli (Sasso Marconi, 11 Desemba 190716 Juni 1996) alikuwa mwendeshabaiskeli mtaalamu wa barabarani kutoka Italia.

Mwaka 1934, Vignoli alishinda hatua moja katika Tour de France ya 1934 na katika Giro d'Italia ya 1934.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne