Afia (pia: Apia) alikuwa mwanamke Mkristo wa karne ya 1 anayetajwa katika barua ya Mtume Paulo kwa Filemoni (Film 1:2), baadaye askofu wa Kolosai, ambaye labda Afia alikuwa mke wake [1].
Inasemekana walifia dini pamoja.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Novemba[2]