Agatho wa Aleksandria (alifariki 26 Oktoba 680) alikuwa patriarki wa 39 wa Kanisa la Kikopti kati ya miaka 661/662 na 677/680.
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.
Developed by Nelliwinne