Alain Rochat (alizaliwa Februari 1, 1983) ni mchezaji wa zamani wa soka wa kulipwa aliyekuwa akicheza kama beki wa pembeni. Alizaliwa Kanada, lakini aliwakilisha Uswisi kimataifa.[1]
{{cite web}}
Developed by Nelliwinne