Alexis Kanyarengwe

Kanali Alexis Kanyarengwe (19382006) alikuwa afisa wa jeshi kutoka Rwanda aliyekimbilia uhamishoni mwaka 1980 baada ya kushutumiwa kwa kupanga njama dhidi ya Juvénal Habyarimana.[1]

  1. "Rwanda – juillet 1994 : que sont devenus les « Hommes d'union nationale »? (2ème partie) - Jambonews FR". www.jambonews.net. Iliwekwa mnamo 2019-04-10.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne