Alida Mkoma

Sanamu yake.

Alida Mkoma (pia: Aleydis, Alix, Alice, Adelaide; Schaerbeek, leo nchini Ubelgiji 1120 hivi - Ixelles, Ubelgiji, 11 Juni 1150[1]), alikuwa bikira wa shirika la Wasitoo ambaye akiwa na umri wa miaka 22 alipatwa na ukoma, hivyo akalazimika kuishi upwekeni. Polepole alipotewa na uwezo wa kuona na kutumia viungo vyake vyote isipokuwa kinywa ili aweze kuimba sifa za Mwenyezi Mungu[2][3].

Tarehe 14 Machi 1907 Papa Pius X alithibitisha heshima ya mtakatifu[4] ambayo Wakatoliki walimpa tangu zamani.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Juni[5].

  1. "Adelaide of Schaerbeck (d. 1250)". Women in World History: A Biographical Encyclopedia. Gale Research Inc. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Machi 2015. Iliwekwa mnamo 8 Januari 2013. {{cite encyclopedia}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) Subscription required
  2. "De B. Aleyde Scharembekana, Sanctimoniali Ordinis Cisterciensis, Camerae Iuxta Bruxellam", in Acta Sanctorum, edited by Godfrey Henschen, 477–83. Paris: Société des Bollandistes, 1688; repr. 1969.
  3. https://www.santiebeati.it/dettaglio/56840
  4. St. Alice at Catholic Online
  5. Martyrologium Romanum

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne