Allah

Herufi za Kiarabu zinazounda neno "Allah":
1. alif
2. hamzat waṣl (همزة وصل)
3. lām
4. lām
5. shadda (شدة)
6. dagger alif (ألف خنجرية)
7. hāʾ

Allah ni neno la Kiarabu (الله, Allāh, kutokana na al ilāh, kwa Kiingereza "the God") linalorejea Mungu pekee.[1][2] , muumba wa mbingu, dunia na vyote vilivyomo.

Hasa linatumika katika dini ya Uislamu,[3] lakini pia Wayahudi wanaoongea Kiarabu na Wakristo Waarabu na wa nchi nyingine (kama vile Malaysia[4][5][6]) wanamwita Mungu "Allah" tangu kabla ya Mtume Muhammad[7][8][9][10].

Hata dini za Bahai na Kalasinga zinamuita Mungu hivyo.

  1. "God". Islam: Empire of Faith. PBS. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-27. Iliwekwa mnamo 18 Desemba 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. L. Gardet. "Allah". Encyclopaedia of Islam Online. {{cite encyclopedia}}: |access-date= requires |url= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Merriam-Webster. "Allah". Merriam-Webster. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-04-20. Iliwekwa mnamo 25 Februari 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Sikhs target of 'Allah' attack, Julia Zappei, Jan. 14, 2010, The New Zealand Herald. Accessed on line Jan. 15, 2014.
  5. Malaysia court rules non-Muslims can't use 'Allah', Oct. 14, 2013, The New Zealand Herald. Accessed on line Jan. 15, 2014.
  6. Malaysia's Islamic authorities seize Bibles as Allah row deepens, Niluksi Koswanage, Jan. 2, 2014, Reuters. Accessed on line Jan. 15, 2014. Ilihifadhiwa 16 Januari 2014 kwenye Wayback Machine.
  7. "Islam and Christianity", Encyclopedia of Christianity (2001): Arabic-speaking Christians and Jews also refer to God as Allāh.
  8. Columbia Encyclopedia, Allah
  9. "Allah." Encyclopædia Britannica. 2007. Encyclopædia Britannica
  10. Encyclopedia of the Modern Middle East and North Africa, Allah

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne