Alvaro XIII wa Kongo

Alvaro XIII wa Kongo (Ndongo katika Kikongo, D. Alvaro XIII kwa Kireno ; alikufa mwaka 1875) alikuwa manikongo wa ufalme wa Kongo kuanzia 1857 hadi 1859.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne