Amos Kimunya

Amos Kimonya katika Mikutano ya Mwaka 2006 IMF

Amos Muhinga Kimunya (alizaliwa 6 Machi 1962) ni mwanasiasa wa Kenya na Mbunge wa Jimbo la Kipipiri aliyepata kuwa Waziri wa Biashara. Pia alikuwa Waziri wa Fedha kutoka mwaka 2006 hadi Julai 2008, wakati alipojiuzulu kutokana na kashfa ya Hoteli ya Grand Regency. Hapo awali, alikuwa Waziri wa Ardhi na Makazi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne