Ancona (kutoka Kigiriki: Ἀγκών, Ankṓn, yaani "bandari") ni makao makuu wa mkoa wa Marche, Italia ya Kati.
Mji ulianzishwa na Wagiriki wa Kale kutoka Siracusa mwaka 387 KK.
Kwa sasa una wakazi 101,331 na hivyo ni wa 43 nchini Italia.
Developed by Nelliwinne