Angiospermae (yaani mimea inayochanua maua; kwa Kiingereza: angiosperms[1][2]; pia Magnoliophyta) ndilo kundi kubwa zaidi la mimea ya nchi kavu (Embryophyte) likiwa na oda 64, familia 416, jenasi 13,000 na spishi zinazojulikana 300,000 hivi.[3]
Mimea inayochanua ya zamani zaidi ilipatikana miaka milioni 160 iliyopita hivi.