Angelo Klareno (Chiarino, Cingoli, Marche, 1247/1255 – Marsicovetere, Basilicata 15 Juni 1337) alikuwa padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia na kwa miaka michache mmisionari huko Armenia Ndogo.
Developed by Nelliwinne