Anna Jessica Leat (alizaliwa 26 Juni 2001)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka New Zealand ambae anacheza kama kipa wa klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL) na timu ya taifa ya wanawake ya New Zealand.[3]
Developed by Nelliwinne