Anna McGarrigle(alizaliwa 4 Desemba, 1944) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa muziki wa folk kutoka Kanada aliyerekodi na kuimba pamoja na dada yake marehemu Kate McGarrigle.[1][2]
- ↑ Betty Nygaard King (Desemba 16, 2013). "McGarrigle, Kate and Anna". The Canadian Encyclopedia. Historica Canada. Iliwekwa mnamo Agosti 17, 2019.
{{cite encyclopedia}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
- ↑ Clarkson, Adrienne (Novemba 5, 2004). "Speech on the Occasion of the Presentation of the Governor General's Performing Arts Awards". Archive.gg.ca. Iliwekwa mnamo Januari 24, 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)