Annapurna

Mlima Annapurna I, upande wa Kusini

Annapurna ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 8,091 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Kilele chake kipo katika nchi ya Nepal.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne