Antili Kubwa ni visiwa katika Bahari ya Karibi. Pamoja na Antili Ndogo, Visiwa vya Turks na Caicos na Bahamas vinaunda visiwa vya Karibi.
Antili Kubwa ni hasa visiwa vinne vikubwa vifuatavyo pamoja na visiwa vingi vidogo.
Developed by Nelliwinne