Antoninus Pius (19 Septemba 86 – 7 Machi 161) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 11 Julai, 138 hadi kifo chake. Alimfuata Kaizari Hadrian.
Developed by Nelliwinne