Antonio Vivaldi

Antonio Vivaldi (1725).

Antonio Vivaldi (4 Machi 1678 mjini Venice - 28 Julai 1741 mjini Vienna) alikuwa mtunzi wa nyimbo kutoka nchi ya Italia.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne