Mfalme Anwon wa Goguryeo (?-545, r. 531-545) alikuwa mtawala wa ishirini na tatu wa taifa la Goguryeo, huko mbali kabisa kuelekea maeneo ya kaskazini mwa Falme Tatu za Korea.
Developed by Nelliwinne