Assam

Moja ya Sehemu ya mji ndani ya jimbo la wa Assam
Mahali pa Assam katika Uhindi
Ramani ya Assam

Assam ni jimbo ya Uhindi.

Iko upande wa kaskazini mashariki mwa India, ikipakana na Bangladesh na Buthan.

Eneo lake ni kilomita mraba 78,438 na wakazi wake ni 31,205,576 (2011).

Mji mkuu wake ni Dispur.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne