Athari za vita kwa watoto

Athari za vita kwa watoto ni majeraha ya kimwili na kiakili kutokana na mapigano.

Idadi ya watoto katika maeneo ya vita ni takribani milioni 250.[1]

Migogoro ya kisilaha, inaelezwa katika namna mbili:

  1. Migogoro ya kisilaha ya kimataifa, inayopinga nchi moja au zaidi,
  2. Migogoro ya kisilaha isiyo ya kimataifa, ama kati ya vikosi vya serikali na makundi yenye silaha yasiyo ya kiserikali, ama kati ya makundi hayo yenyewe kwa yenyewe.[2]
  1. "Conflict". UNICEF USA (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-30.
  2. "How is the term "Armed Conflict" defined in international humanitarian law? - ICRC". www.icrc.org (kwa American English). 2008-03-17. Iliwekwa mnamo 2023-03-12.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne