Athol Fugard | |
Amezaliwa | Harold Athol Lanigan Fugard 11 Juni 1932 Eastern Cape, Afrika Kusini |
---|---|
Nchi | Afrika Kusini |
Kazi yake | Mwandishi |
Kipindi | 1956-hadi leo |
Tovuti | http://theatre.ucsd.edu/people/faculty/AtholFugard/ |
Athol Fugard (amezaliwa 11 Juni 1932) ni mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa ameandika tamthiliya. Baadhi ya tamthiliya zake zimetumiwa kwa kubuni filamu. Naye pia aliigiza katika filamu mbalimbali, k.m. katika Gandhi Fugard aliigiza Jenerali Jan Smuts.