Avignon | |
Mahali pa mji wa Avignon katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 43°57′0″N 4°49′01″E / 43.95000°N 4.81694°E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Provence-Alpes-Côte d'Azur |
Wilaya | Vaucluse |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 92,454 |
Tovuti: www.avignon.fr |
Avignon ni mji wa Ufaransa kusini.
Katika historia unakumbukwa hasa kwa sababu katika miaka 1309-1377 Mapapa saba walikuwa na makao yao huko badala ya kuishi mjini Roma.
Katika miaka 1348-1791 Papa alikuwa ndiye mtawala wa mji huo.
Kwa sababu hizo, mwaka 1995 kiini cha mji huo kimetangazwa mahali pa Urithi wa Dunia.