Babyface | |
---|---|
![]() Edmonds mnamo Mei 2013 | |
Taarifa za awali | |
Jina la kuzaliwa | Kenneth Brian Edmonds |
Amezaliwa | 10 Aprili 1959 Indianapolis, Indiana, U.S. |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi |
Ala |
|
Miaka ya kazi | 1977–hadi sasa |
Studio | Chi Sound, SOLAR, Epic, Arista, Mercury, Motown, Def Jam |
Ameshirikiana na | Toni Braxton, Whitney Houston, The Deele, Az Yet, Manchild, TLC, After 7 |
Wavuti | babyfacemusic.com |
Kenneth Brian Edmonds[1][2] (amezaliwa 10 Aprili, 1959), anajulikana sana kwa jina lake la kisanii kama Babyface, ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na myatarishaji wa rekodi kutoka nchini Marekani. Ametunga na kutayarisha zaidi ya vibao 26 vilivyoshika nafasi ya kwanza tangu kuanza kazi yake ya muziki wa R&B, na ameshinda tuzo 11 za Grammy Awards.