Back in Business | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||
Studio album ya EPMD | |||||
Imetolewa | 16 Septemba 1997 | ||||
Aina | Hip Hop | ||||
Urefu | 46:08 | ||||
Lebo | Def Jam 536 389 |
||||
Mtayarishaji | Artist Rockwilder DJ Scratch 8-Off Agallah |
||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za EPMD | |||||
|
Back in Business ni albamu ya marejeo kutoka kwa kundi zima la muziki wa hip hop la EPMD, ambalo limevunjia kwa matatizo ya kibinafsi mnamo mwaka wa 1992. Baada ya kutoa albamu nne zenye mafanikio baina ya 1988 na 1992 (zote kati ya hizo zilihesabiwa kuwa za hali ya juu), lakini hao wakarudi tena ulingoni na kitu kipya chenye mafanikio. Kibao kikali cha "Da Joint" kimepata kuwa kibao chao kikali cha pili kuingia kwenye chati za Billboard Hot 100 kwa mwaka wa 1997.
Albamu ilitunukiwa Dhahabu na RIAA mnamo tar. 17 Novemba 1997.