Bad Boy Records | |
---|---|
Shina la studio | Warner Music Group |
Imeanzishwa | 1993 |
Mwanzilishi | Sean Combs |
Usambazaji wa studio | Atlantic Records (US) WEA International (nje ya-US) |
Aina za muziki | Mbalimbali |
Nchi | Marekani |
Mahala | New York City |
Tovuti | Bad Boy Records |
Bad Boy Records (jina kamili ni Bad Boy Entertainment) ni studio ya kurekodia muziki ya East Coast Hip-Hop/R&B iliyoanzishwa na mtayarishaji/rapa maarufu wa Kimarekani Bw. Sean "Diddy" Combs kunako mwaka wa 1993[1]. Leo hii inaendesha shughuli zake za muziki ikiwa chini ya kampuni ya muziki ya Warner Music Group, na kazi zake zinasambazwa na studio ya Atlantic Records.