Bambaata Marley

Bambaata Marley

Daniel Bambaata Robert Nesta Marley (alizaliwa 12 Julai 1989) ni mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Jamaika.

Yeye ni mtoto mkubwa wa Ziggy Marley na mjukuu mkubwa wa Bob Marley.[1][2]

  1. "Getting to know Daniel Bambaata Marley". Island Stage. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-04. Iliwekwa mnamo 7 Mei 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Jo Mersa Marley EP Drops in June". The Gleaner. 26 Mei 2014. Iliwekwa mnamo 26 Mei 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne