Bayern Munich

Nembo ya klabu ya mpira wa miguu ya Bayern Munch.

FC Bayern Munich, pia inajulikana kama Bayern München, ni klabu maarufu ya mpira wa miguu mjini München katika Bavaria nchini Ujerumani. klabu ilianzishwa mnamo mwaka 1900 na inawanachama wa kulipwa wapatao 104.000. Kilabu hii uchezea sana katika uwanja wao wa nyumbani maarufu kama Allianz Arena.[1]

  1. "Never-say-die Reds overcome Ingolstadt at the death". FC Bayern Munich. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Februari 2017. Iliwekwa mnamo 12 Februari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne