Beatus Kinyaiya, O.F.M.Cap. (amezaliwa 9 Mei 1957) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.
Aliwekwa wakfu na Kardinali Polycarp Pengo mwaka 2006. Tangu mwaka huo alikuwa askofu wa Jimbo la Mbulu hadi 2014 alipohamishiwa Jimbo Kuu la Dodoma kama askofu mkuu.