| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Kilatini: Sub Umbra Floreo (maana yake: "Kivulini nasitawi") | |||||
Wimbo wa taifa: Land of the Free Wimbo wa kifalme: God Save the Queen | |||||
Mji mkuu | Belmopan | ||||
Mji mkubwa nchini | Belize City | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali | Nchi ya Jumuiya ya Madola Charles III wa Uingereza Froyla Tzalam Johnny Briceño | ||||
Uhuru Tarehe |
Kutoka Uingereza 21 Septemba 1981 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
22,966 km² (151st) 0.8 | ||||
Idadi ya watu - Julai 2022 kadirio - 2010 sensa - Msongamano wa watu |
441,471 (ya 168) 324,528 17.79/km² (ya 169) | ||||
Fedha | Belize Dollar (BZD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-6) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .bz | ||||
Kodi ya simu | +501
- |
Belize ni nchi ya Amerika ya Kati upande wa pwani ya mashariki.
Inapakana na nchi za Mexiko, Guatemala na Honduras.
Makao makuu yako Belmopan, lakini mji mkubwa zaidi ni Belize.