Benedikto wa Milano

Mt. Benedikto wa Milano.

Benedikto wa Milano (kwa Kiitalia: Benedetto Crispo; alifariki Milano, Italia, 725) alikuwa askofu wa 41 wa mji huo kuanzia mwaka 681[1][2] [3] [4].

Sifa ya uadilifu wake ilikwisha kuenea kote Italia wakati wa uhai wake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Machi[5].

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/44540
  2. Cazzani, Eugenio (1996). Vescovi e arcivescovi di Milano (kwa Italian). Milano: Massimo. ku. 57–58. ISBN 88-7030-891-X.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. Casari, Mario (1987). "Benedetto, santo". Dizionario della Chiesa Ambrosiana (kwa Italian). Juz. la 1. Milano: NED. uk. 392. ISBN 88-7023-102-X.{{cite encyclopedia}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  4. Magnoli, Claudio, mhr. (2010). Celebrazioni dei santi. Messale ambrosiano quotidiano (kwa Italian). Juz. la 4. Milano: Centro Ambrosiano. uk. 747. ISBN 978-88-8025-763-9.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  5. Martyrologium Romanum

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne