Bessie Tucker alikuwa mwanamuziki wa Marekani. Alikuwa anapiga muziki wa blues. Nje ya mikutano miwili ya kurekodiwa miaka 1928 na 1929, hakuna ijulikanayo kuhusu maisha yake.
Developed by Nelliwinne