Betri

Betri mbalimbali zilizopangwa kwa jozi.
Alama wakilishi ya betri.

Betri (kutoka Kiingereza: "battery") ni kifaa kinachotumika kutunza chaji ya umeme kwa muda fulani.

Ilibuniwa na Mwitalia Alessandro Volta mnamo 1800.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne