Jiji la Bhopal | |
Mahali pa mji wa Bhopal katika Uhindi |
|
Majiranukta: 23°15′0″N 77°25′0″E / 23.25000°N 77.41667°E | |
Nchi | Uhindi |
---|---|
Jimbo | Madhya Pradesh |
Wilaya | Bhopal |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,458,416 |
Tovuti: www.bhopal.nic.in |
Bhopal ni jina la mji mkuu wa jimbo la Madhya Pradesh katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao milioni 1.5 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 427 kutoka juu ya usawa wa bahari.