Binti

Binti katika kabila la Welayta, Ethiopia.

Binti (kutoka Kiarabu) ni mtoto wa kike.

Hata mwanamke aliyekua anaweza kutajwa au kujitaja hivyo kati ya jina lake na lile la baba yake.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Binti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne