Mfalme Bojang wa Goguryeo (?-682, r. 642-668) alikuwa mtawala wa ishirini na nane wa taifa la Goguryeo, huko mbali kabisa kuelekea maeneo ya kaskazini mwa Falme Tatu za Korea.
Developed by Nelliwinne