Mfalme Bongsang wa Goguryeo (?-300, kutawala 292-300) alikuwa mtawala wa kumi na nne wa taifa la Goguryeo, huko mbali kabisa kuelekea maeneo ya kaskazini mwa Falme Tatu za Korea.
Developed by Nelliwinne