Hii ni ramani ya New York City. Mahali panapo rangi ya njano ndiyo sehemu ya Brooklyn.47th Street, Brooklyn
Brooklyn ni moja kati ya sehemu za mji wa New York City. Daraja la Brooklyn ni daraja mshuhuri katika mji wa Brooklyn. Brooklyn ni moja kati sehemu zilizomaarufu sana.