Bruna Vilamala Costa (alizaliwa 4 Juni 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uhispania, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Brighton & Hove Albion, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL), akitokea FC Barcelona kwa mkopo.[1]