Bruno Pius Ngonyani

Bruno Pius Ngonyani (amezaliwa 8 Agosti 1945) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Papa Yohane Paulo II mwaka wa 1991. Tangu mwaka huo, ni askofu wa Jimbo la Lindi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne