3°23′S 29°22′E / 3.383°S 29.367°E
Jiji la Bujumbura | |
Mahali pa mji wa Bujumbura katika Burundi |
|
Majiranukta: 3°21′49″S 29°22′3″E / 3.36361°S 29.36750°E | |
Nchi | Burundi |
---|---|
Mkoa | Bujumbura Mairie |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 300 000 |
Tovuti: www.villedebujumbura.org |
Bujumbura, ni mji mkuu wa Burundi unaokadiriwa kuwa na idadi ya wakazi 300,000. Mji upo kaskazini mashariki mwa Ziwa Tanganyika, na ni mji mkubwa zaidi Burundi, kitovu cha mawasiliano na uchumi nchini humo.
Bujumbura ni mji pekee Burundi ambao una bandari ya kupakia mali na bidhaa mbalimbali za kuuza nje, kama vile kahawa, pamba, ngozi na madini ya stani.