Butiaba


Majiranukta: 01°49′08″N 31°19′33″E / 1.81889°N 31.32583°E / 1.81889; 31.32583
Nchi Bendera ya Uganda Uganda
Mikoa Mkoa wa Magharibi
Mkoa mdogo Bunyoro
Wilaya Wilaya ya Masindi
EAT (UTC+3)

Butiaba (wakati mwingine huandikwa Butyaba) ni mji katika Mkoa wa Magharibi mwa Uganda.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne