Mhimili wa Bunge mjini Canberra kati ya jengo la bunge na makumbusho kwa marehemu wa vita kuu | |
Utawala | Australian Capital Territory |
Historia | iliundwa 12 Machi 1913 na kuwa mji mkuu 9 Mei 1927 |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 35°18'30"S Longitudo: 149°7'30"E |
Kimo | 632 m juu ya UB |
Eneo | 805.6 km² |
Wakazi | 332,798 (2006) |
Msongamano wa watu | watu 401 kwa km² |
Simu | +56 (nchi) 73 (mji) |
Mahali | |
Canberra ni mji mkuu wa Australia mwenye wakazi 330,000. Si sehemu ya jimbo lolote la shirikisho la Australia lakini limepewa eneo lake la kitaifa kando la mto Molonglo ndani ya eneo la jimbo New South Wales.
Iko kilomita 300 kusini magharibi ya Sydney na kilomita 650 kaskazini-masahriki ya Melbourne.