Carniriv

Young Stunna - carniriv 2013

Carniriv ni tamasha la kila mwaka linalofanyika huko port Harcourt, Nigeria. Tamasha huanza wiki chache kabla ya Krismasi na kudumu kwa siku saba. [1] Tamasha la Port Harcourt Carniva huwa na utofauti wa aina yake kwani hujumuisha matasha mawili, tamasha la kiutamaduni na tamasha la kisasa ya staili ya Caribbean.[2][3]


Serikali inatambua Carniriv kama kivutio kikubwa cha utalii. Katika maslahi ya uchumi, serikali imeazimia kukuza tamasha hili itambulike duniani kama moja ya vivutio vya utalii dunia.[4]

  1. "Carnival Rivers: Celebration of the tribes". Vanguard News (kwa American English). 2012-12-20. Iliwekwa mnamo 2021-08-22.
  2. "2021 Port Harcourt, Nigeria Carnival and Parades - Finelib.com Events". www.finelib.com. Iliwekwa mnamo 2022-02-25.
  3. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-11-17. Iliwekwa mnamo 2013-11-21.{{cite web}}: CS1 maint: archived copy as title (link)
  4. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-11-17. Iliwekwa mnamo 2013-11-21.{{cite web}}: CS1 maint: archived copy as title (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne