Carolyne Wanjiku Tharau

Carolyne Wanjiku Tharau (anajulikana zaidi kama Wanjiku the Teacher au Teacher Wanjiku[1]) ni muandaaji wa filamu, muigizaji na mchekeshaji wa nchini Kenya.

  1. "Meet Caroline Wanjiku aka Teacher Wanjiku". Mediamax Network. Iliwekwa mnamo 15 Juni 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne